JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Biteko azitaka mamlaka za maji kupunguza upotevu wa maji

📌 Azindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji mwaka 2023/24 📌 Upotevu wa maji wasababisha hasara ya shilingi bilioni 114.12 📌 Maganzo yaibuka kidedea, Rombo yavuta mkia utoaji wa huduma Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa…

…Wadau wachambua miaka 4 ya Rais Dk. Samia madarakani

*Butiku asema amepambana na rushwa, afurahi 4R kurejesha mshikamano *Dk. Chegeni: Licha ya uhaba wa fedha za kutosha, amekamilisha miradi aliyoirithi * LHRC wadai bado kuna changamoto kubwa katika mifumo ya sera, sheria *TAMWA yasifia ujasiri, uthubutu alioonyesha tofauti na…

Bunge latoa kongole utendaji ufanisi wa TPA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya…

UN: Majanga ya mazingira yaliwaacha wengi bila makazi 2024

Umoja wa Mataifa umesema kuwa mamia kwa maelfu ya watu walilazimika kukimbia majanga ya kimazingira mwaka jana, ikiashiria haja ya kuwepo mifumo ya tahadhari ya mapema kwa dunia nzima. Umoja wa Mataifa umesema kuwa mamia kwa maelfu ya watu walilazimika…

Emir wa Qatar awakutanisha Kagame, Tshisekedi

Marais wa Rwanda na DR Kongo wamekutana Jumanne nchini Qatar na kuelezea uungaji mkono wao kwa usitishaji mapigano, ilisema taarifa ya pamoja, siku moja baada ya mazungumzo ya amani nchini Angola kuvunjika. Umoja wa Ulaya hivi karibuni uliwawekea vikwazo makamanda…

Urusi na Ukraine zashambuliana baada ya mawasiliano ya Putin na Trump

Urusi na Ukraine zimeanzisha mashambulizi ya anga ambayo yaliharibu miundombinu ya kila mmoja wao, saa chache baada ya Rais Vladimir Putin kusema Urusi itaacha kuyalenga maeneo ya nishati ya Ukraine. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema malengo ya Urusi ni…