JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Israel yafanya mashambulizi Gaza ikidai kuwalenga Hamas

Jeshi la Israel limesema limefanya hivi leo mashambulizi ya anga katikati na kusini mwa Gaza na kuwalenga wanamgambo waliokuwa wakijaribu kutega mabomu karibu na vikosi vyake vilivyoko katika ukanda huo. Taarifa hiyo imetolewa baada ya mamlaka za Palestina kusema kuwa…

Rwanda yavunja uhusiano na Ubelgiji

Serikali ya Rwanda imetangaza kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ubelgiji, ikidai kuwa Ubelgiji imekuwa ikiidhoofisha Rwanda wakati wa mzozo unaoendelea mashariki mwa DR Congo. Ubelgiji nayo imetangaza kuwafukuza wanadiplomasia wa Rwanda, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji, Maxime…

JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi

Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu ya msingi yaliyoainishwa kisheria, bodi hiyo itakuwa na wajibu wa kusimamia Mfumo wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari…