JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

‘Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya…

Mabingwa Lina PG Tour 2024 kushuka dimbani kesho, michuano ya gofu Dubai

Na Mwandishi Wetu WACHEZAJI watatu bora wa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour 2024 wapo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) jijini Dubai kwa ajili ya kushiriki mashindano ya kimataifa ya Clutch Tour Tier 1 yanayoanza kutimua vumbi…

Ni maono ya Dk Samia wananchi wote wapate umeme -Kapinga

📌 Asema wakati Serikali ya Awamu ya Sita inaingia madarakani Vijiji 4000 havikuwa na umeme 📌 Aitaka TANESCO na REA kuendelea kutoa elimu ya kuunganisha umeme 📌 Nishati ya umeme yauongezea ufanisi Zahanati ya Mang’oto Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith…

COSTECK imetenga milioni 600 kutekeleza miradi minne ya ubunifu

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma TUME ya Taifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu(COSTECH)imetenga milioni 600 kwa ajili ya kutekelezwa miradi minne ya usalama wa chakula,ikihusisha udhibiti wa magonjwa ya mazao,uboreshaji wa uhifadhi wa chakula na ubunifu wa vyakula vyenye virutubishi vya hali ya…

NSSF yaongeza thamani ya mfuko kwa asilimia 92

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katika juhudi za kutambua mchango wa sekta binafsi katika kukuza uchumi, Serikali imewezesha ukuaji mkubwa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambapo thamani ya mfuko imeongezeka kwa asilimia 92, kutoka TZS bilioni…

Kamati ya Bunge yapongeza miradi ya TEHAMA, yataka wabunifu walindwe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Selemani Moshi Kakoso, imefanya ziara katika ofisi za Tume ya TEHAMA (ICTC) kwa kukagua shughuli za taasisi hiyo, ikiwemo mradi wa…