Latest Posts
Majaliwa: Tanzania imejipanga maandalizi CHAN, AFCON
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya Fainali za Ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) na Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON). “Tanzania imejipanga vizuri, kuhakikisha kuwa michuano hii…
Serikali kupitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua mfumo mpya wa Sera ya elimu huku akiweka msisitizo wa Serikali kupitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini. Amesema dhamira ya mabadiliko ya…
Uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura Pwani, Tanga kufanyika Februari 13-19
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanza maandalizi ya mzunguko wa 11 kati ya mizunguko 13 ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Pwani na Tanga ambayo zoezi la uboreshaji…
Baraza la Madiwani Same laidhinisha bajeti ya bilioni 63.42 kwa mwaka 2025/26
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Same limepitisha kiasi cha shilingi bilioni 63.420 kwa mwaka wa fedha 2025/26 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo ndani ya wilaya hiyo. Bajeti hiyo…
SADC watangaza mshikamano na DRC
Mkutano umejiri baada ya wanajeshi 13 kutoka Afrika Kusini na watatu kutoka Malawi, kuuawa katika mapigano Goma nchini DRC, ambapo walikuwa wamepelekwa kama sehemu ya juhudi za kudumisha amani za kikanda. Viongozi wa mataifa ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi…