JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Makamu wa Rais wa Gambia awasili Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Gambia, Mhe. Muhammad Jallow amewasili jijini Dar es Salaam ambapo anamwakilisha Mheshimiwa Rais Adama Barrow katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa kuanza leo, Januari 27 na 28 2025 katika…

Naibu Waziri Mkuu wa Eswatini awasili nchini

Naibu Waziri Mkuu wa Ufalme wa Eswatini, Mheshimiwa Thulisile Dladla, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025. Katika Uwanja…

Dk Biteko afungua Mkutano wa Nishati wa Viongozi Afrika

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, .Dkt. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rockefeller (M300) inayofanyika…

Sheikh Alhadi Mussa azindua Wanawake Laki moja Cup Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Temeke JUMUIYA ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Sheikh Dkt. Alhadi Mussa Salum ameipongeza Taasisi binafsi ya Wanawake Laki Moja kwa kudhamini Tamasha Ligi ya Wanawake yenye kauli mbiu: ‘Cheza kama…

Mkutano wa Nishati Safi wapamba moto Dar

Katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere mazingira ya nje ya ukumbi yana mvuto wa kipekee kutokana na kuwepo kwa burudani za aina mbalimbali. Mkutano huu wa Nishati unaunganisha wageni na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi hususa ni…

Wasira: Uamuzi wa Mkutano Mkuu umezingatia katiba ya CCM

*Awapa darasa wanaodai sababu ya CCM kupitisha wagombea urais *Asema yupo tayari kuwapa somo waifahamu vyema katiba ya chama   Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliomchagua…