Latest Posts
Maelfu watakiwa kuhama baada ya moto mpya kuzuka Marekani
Maelfu ya wakazi kusini mwa mji wa California wametakiwa kuondoka baada ya kuzuka moto mpya wa nyikani, kaskazini mwa Los Angeles, na kusambaa takriban kilomita za mraba 41 katika muda mfupi. Moto huo uliopewa jina la Hughes Fire, unawaka karibu…
Marekani yaahidi kuunga mkono Serikali ya Israel
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ameendelea kuthibitisha uungaji mkono thabiti kwa Israel, siku chache baada ya kusitishwa kwa mapigano katika Ukanda wa Gaza. Rubio alizungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na kumuhakikishia kwamba Marekani itaendelea kuiunga…
ZEEA yaanza kutoa mikopo kidijitali, maafisa washauriwa kuwa makini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar MIKOPO kwa njia ya kidijitali inayoanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imeelezwa kuwa itawasaidia wananchi kupata fedha kwa wakati na kuendeleza biashara zao ili kujikwamua Kiuchumi. Wakati hatua hiyo ikianza maafisa…
Wasira awashukia waliopora ardhi ya vijiji
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuhakikisha ardhi ya vijiji iliyoporwa kinyume cha sheria, inarudishwa kwa wananchi. Wasira alitoa maagizo hayo Januari 23, 2025 jijini Dodoma,…
Zaidi ya wanawake 600 kutoka mikoa saba kujengewa uwezo masuala ya uongozi
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Zaidi ya wanawake mia sita kutoka mikoa saba wanatarajiwa kujengewa uwezo kuhusu maswala ya uongozi na ushiriki wa wanawake katika kufanya maamuzi . Hayo yamesemwa mkoani Arusha na mwezeshaji kutoka idara ya sayansi ya siasa…
TMA yatoa utabiri wa msimu wa mvua za masika 2025
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo wa mvua za msimu wa Masika Machi hadi Mei 2025 kwa maeneo yanayopata mvua mara mbili kwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 23, 2025 jijini Dar es Salaam…