JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ni Samia

*Haijapata kutokea: Yeye, wenzake wapitishwa bila kujaza fomu *Dk. Mwinyi akabidhiwa bendera ya CCM urais Zanzibar *Dk. Nchimbi apitishwa kuwania u-Makamu wa Rais kumrithi Dk. Mpango *Wasira ‘Tyson’ akabidhiwa mikoba CCM Tanzania Bara Na Waandishi Wetu, Dodoma, Dar Mkutano Mkuu…

Mkuu wa Majeshi Israel ajiuzulu

MKUU wa jeshi la Israel Meja jenerali Herzi Halevi amejiuzulu, kutokana na kushindwa kuzuia uvamizi wa kundi la wanamgambo la Kipalestina la Hamas uliofanyika Oktoba 7 mwaka 2023. Katika barua yake ya kujiuzulu Halevi amesema sababu kubwa iliyomfanya kujiuzulu  kushindwa…

Majaliwa : Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwa TMA

▪️Lengo ni kuwezesha utoaji wa utabiri na tahadhari za hali mbaya ya hewa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya…

Pugu Marathon 2025 awamu ya Tatu Kufanyika Mei 31, mwaka huu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam ASKOFU Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam Mhashamu Stephano Musomba ametoa wito kwa jamii kujitokeza kwa wingi na kuhakikisha wanajiandikisha kushiriki Pugu Marathon 2025 itakayofanyika Mei 31, 2025 katika viwanja vya…

Kliniki ya sheria bila malipo yazinduliwa Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro MKOA wa Kilimanjaro umeingia kwenye ukurasa mpya wa upatikanaji wa haki kwa uzinduzi rasmi wa Kliniki ya Sheria bila malipo, uliofanywa na Mkuu wa Mkoa, Nurdin Babu. Hafla hiyo ilifanyika leo Januari 21, 2025 katika…

Gethsemane group Kinondoni yaipua wimbo wa Ni siku yetu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KWAYA ya Gethsemane Group Kinondoni (GGK) SDA ya jijini Dar es Salaam imeipua wimbo wake mpya maalumu kwa ajili ya Harusi ujulikanao kama Ni Siku Yetu. Wimbo huo umetolewa mwishoni mwa wiki iliyopita…