Latest Posts
Waziri Kombo awakaribisha wafanyabiashara wa Czech
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii uchukuzi, afya, TEHAMA, nishati, madini na elimu. Waziri Kombo alitoa mwaliko huo…
Dk Biteko ataka mitaala vyuoni iendane na mabadiliko ya teknolojia
📌Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 – 2075) 📌Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za jamii 📌Taasisi za elimu ya juu zatakiwa kuweka mkazo mafunzo ya ujasiriamali Vyuo na taasisi zinazotoa elimu ngazi ya Kati ikiwemo…
‘Filamu ya Royal Tour imeongeza watalii asilimia 183’
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema filamu ya The Tanzania Royal Tour imechangia sekta ya utalii kuchangia pato la taifa kwa asilimia 30 huku watalii wakiongezeka kwa asilimia 183. Abdulla aliyasema hayo…
Trump kuwafuta kazi watu 1,000
Rais wa Marekani Donald Trump amepanga kuwaondoa kazini  zaidi ya watu 1,000 walioteuliwa na utawala wa Rais wa zamani Joe Biden. Miongoni mwa watu watakaoondolewa kazini ni mpishi mashuhuri Jose Andres na jenerali mkuu wa zamani Mark Milley. “Ofisi yangu…