JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CCM yafanya uteuzi wa wagombea nafasi za Spika na Naibu Spika

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatano, Novemba 5, 2025. Kikao hicho…

Ajali ya ndege ya UPS, saba wafariki, 11 wajeruhiwa

Takriban watu saba wameuawa wakati ndege ya mizigo ya UPS ilipoanguka ilipokuwa ikipaa kutoka uwanja wa ndege wa Louisville, Kentucky Jumanne jioni, gavana wa jimbo hilo alisema. Andy Beshear alisema wafanyakazi watatu wa ndege hiyo huenda wakawa miongoni mwa waliofariki…

Nchimbi aombewa na Dkt Mpango, aahidi kuendeleza mchango wake

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amempongeza na kumshukuru Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Philip Mpango kwa mchango aliyoutoa wakati wa kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia…