Latest Posts
Korea Kaskazini yafyatua makombora ya majaribio
Serikali ya Korea Kusini imesema kuwa Korea Kaskazini imefyatua makombora ya majaribio ya masafa mafupi kuelekea baharini, huku rais mteule wa Marekani, Donald Trump, akiwa karibu kuingia madarakani. Tukio hili limetokea wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Takeshi…
Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili Husna Gulam (3) na Mahdi Mohamed (4) walioibiwa na dada wa kazi kwa kushirikiana na mganga wa kienyeji nyumbani kwao…
Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
KIZZA Besigye, mwanasiasa mkongwe wa upinzani na hasimu wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni, alitekwa nyara akiwa jijini Nairobi Novemba 2024 na kurejeshwa Uganda alikofunguliwa mashtaka katika mahakama ya kijeshi. Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, atafikishwa…
Trump kubadili sura ya dunia kuanzia Jumatatu
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumatatu ya wiki ijayo, Januari 20, 2025 kuanzia saa 6:00 mchana, siku ambayo Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, ataapishwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani, dunia itabadilika na kuwa na sura mpya….
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
RAIS wa Korea Kusini aliyeachishwa kazi Yoon Suk Yeol amekamatwa, kulingana na mamlaka, na kuweka kihistoria nchini humo. Yoon ambaye anachunguzwa kwa uasi ndiye rais wa kwanza aliye madarakani nchini humo kukamatwa. Baadhi ya wachunguzi waliingia katika makazi ya Yoon…