Latest Posts
Tanzania, Japan zajidhatiti kusaidia wakulima nchini
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Japan zimetia saini mkataba wa shilingi bilioni 377 kugharamia utelelezaji wa mradi wa Kilimo na Maendeleo Vijijini (Agriculture and Rural Development Two Step Loan) ambao umekusudiwa kuwanufaisha moja kwa moja wakulima kupitia mikopo midogo midogo. Mkataba…
Dk Kazungu ateta na balozi wa Tanzania Abu Dhabi
📌 Anadi miradi ya nishati kuvutia wawekezaji kutoka Abu Dhabi 📌 Ashiriki hafla ya ufunguzi wa Wiki ya uendelezaji Nishati Abu Dhabi na utoaji tuzo za umahiri 📌 Balozi wa Tanzania Abu Dhabi awataka watanzania kuchangamkia fursa za ajira Abu…
Tanzania iko tayari kwa mashindano ya CHAN na AFCON
Na Lookman Miraji Tanzania kwa kushirikiana na nchi jirani za Afrika mashariki za Kenya na Uganda zinategemea kuwa wenyeji wa michuano ya Afrika ya CHAN 2024 na AFCON mwaka 2027. Kwa upande wa Tanzania kupitia kamati ya maandalizi ya CHAN…
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Sheria
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt:Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya sheria kitaifa yanayotarajiwa kufanyika februari 3 katika viwanja vya chinangali mjini Dodoma. Akitoa taarifa…
Jaji Mkuu: Toeni taarifa endapo hamjaridhishwa na huduma za mahakama
Na Mwadishi Wetu JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewahimiza wananchi wanaopata huduma katika mahakama mbalimbali nchini kutoa taarifa endapo hawajaridhishwa na huduma walizopewa. Akizungumza leo Januari 14, 2025, katika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Kifamilia kilichopo Temeke, Dar…
Wakili Mahinyila achaguliwa mwenyekiti BAVICHA
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakili Deogratius Mahinyila mechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema ( BAVICHA ) Taifa, leo Januari 14, 2025. Mahinyila ametangazwa katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, muda mfupi baada…