Latest Posts
Zimbabwe yafuta adhabu ya kifo
Mkuu wa Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa Volker Turk, amekaribisha uamuzi wa Zimbabwe wa kufuta hukumu ya kifo na kutoa wito kwa nchi nyingine kuchukua hatua kama hiyo. Mapema wiki hii, Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa…
Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza
Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo maafisa wawili wa ngazi ya juu katika jeshi la polisi linaloongozwa na Hamas. Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza,…
Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta
Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai. Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai….
Kwa heri 2024; Kiswahili kimezidi kutandawaa – 2
MAADHIMISHO ya Siku ya Kiswahili Duniani (MASIKIDU), yalifanyika Julai 7, 2024 nchini Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na duniani kote ambako lugha ya Kiswahili inazungumzwa. Lengo la maadhimisho haya ni kuitikia mwito wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi…
LATRA yakamata magari 20 kwa kutoza abiria nauli kubwa Tabora
Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora. MAMLAKA ya udhibiti usafiri ardhini LATRA Mkoa wa Tabora imeyakamata magari 20 yanayofanya safari kutoka Tabora mjini kwenda wilayani Sikonge kwa kutoza abiria nauli kubwa kupita kiwango kinachotakiwa kisheria kwa madai ya gharama za uendeshaji…
Wawili wahukumiwa kifungo cha maisha jela, wanne miaka 30
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepata mafanikio makubwa kufuatia kuhukumiwa kwa watuhumiwa kadhaa wa makosa ya kikatili ambao mashauri yao yalikuwepo katika Mahakama mbalimbali jijini Dar es Salaam. Kamanda…