JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ruto akiri ukiukaji wa polisi katika maandamano

RAIS wa Kenya William Ruto amekiri ukiukaji uliofanywa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo, kufuatia maandamano ya kupinga wimbi la hivi majuzi la madai ya utekaji nyara ambayo yamezua ghadhabu nchini humo. Ruto amesema kwenye hotuba yake ya mwaka…

Makamu wa Rais ashiriki Ibada ya Mwaka Mpya 2025 Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya…

Polisi Songwe yaimarisha ulinzi sikukuu ya mwaka mpya

Ikiwa leo ni Januari Mosi mwaka 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limejipanga vizuri kuhakikisha wananchi wanasherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu. Kauli hiyo imetolewa Januari 01,2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa…

Rais Samia : Mwaka 2024 ulikuwa na mafanikio

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DISEMBA, 2024 Ndugu Wananchi; Tarehe 31 Desemba, tumehitimisha mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kwa neema…

Matumizi kuni, mkaa taasisi za umma mwisho Desemba 31, 2024 -Majaliwa

WAZIRI Mkuu wa Nchi, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo  yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Desemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi…