JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Norland Global Tanzania yang’ara Qatar

Na Mwandishi Wetu, Doha, Qatar Mkurugenzi Mtendaji na Daktari wa Norland Global Tanzania, Dkt Moses Makalla, amesema hapa kuwa amefurahishwa na mrejesho wa watumiaji wa dawa asili za kampuni yao hapa doha nchini Qatar. “Ukimpa mgonjwa dawa au tiba lishe…

CUF : Hatugombei kushiriki, tunagombea kushinda

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, Othman Dunga ameeleza kuwa CUF haishiriki uchaguzi kwa ajili ya kushiriki tu, bali kwa lengo la kushinda na kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi….

Mahakama Kuu yatupa maombi ya Lissu ya kupinga mashahidi kufichwa

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam Masijala ndogo imetupa maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kupinga mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni. Pia, mahakama hiyo…

Trump, Putin kukutana Ijumaa mjini Anchorage

Mkutano kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Urusi wa kusaka suluhisho la mzozo wa Ukraine utafanyika Ijumaa katika mji wa Anchorage jimboni Alaska. Ikulu ya White imefahamisha usiku wa kuamkia leo kuwa mkutano huo unaosubiriwa…

Wagonjwa 6, 145 wa siko seli wabainika Pwani, Mkuranga yaongoza

Na Mwamvua Mwinyi, Jamhuriedia, Pwani Mkoa wa Pwani unakadiriwa kuwa na jumla ya wagonjwa wa Siko Seli 6,145, kwa mujibu wa takwimu zilizokusanywa kupitia mahudhurio ya kliniki kati ya Januari hadi Desemba 2024, huku Wilaya ya Mkuranga ikiongoza kwa kuwa…

Serikali yalipa fidia ya milioni 999 kwa wananchi Dodoma kwa miradi ya maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Maji, imekamilisha zoezi la ulipaji wa fidia yenye jumla ya Shilingi Milioni 999 kwa wananchi 103 ambao ardhi yao ilitwaliwa katika maeneo ya Nzuguni, Zuzu…