Latest Posts
SADEC kuweka mikakati kufanikisha upatikanaji umeme wa uhakika
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam WANACHAMA wa Jumuiya za Nchi Kusini Mwa Afrika (SADC), sekta ya Umeme wamesema watahakikisha wanaweka mikakati endelevu na kujadiliiana ili kufufua vyanzo vya nishati hiyo kwa lengo la kufanikisha kusafirisha na kusambaza kwa wateja…
Waziri Stergoma ajiandikisha daftari la Mkazi la Mpiga kura
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Oktoba, 2024 amejiandikisha katika Daftari la Mkazi katika kituo kilichopo Kitongoji cha Unyamwezini Kata ya Itumbili Wilayani Magu. Mara baada ya kuwasili katika Kituo…
Serikali yaingiza bilioni 287 sekta ya madini
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema serikali imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 287 katika kipindi cha robo ya kwanza, ikivuka lengo la awali la makusanyo ya shilingi bilioni 247 katika sekta ya madini. Akizungumza wakati wa mjadala wa mafanikio ya serikali…
SMZ kuwekeza miundombinu ya afya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali amesema Serikali imeweka uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya Afya kutokana na umuhimu wa sekta hiyo kwa jamii. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na Meneja Mwandamizi wa Mfuko…
Korea Kaskazini yalipua barabara kwenda Kusini
Korea Kaskazini leo imelipua sehemu ya barabara zisizotumika ambazo awali ziliunganisha kwenda Korea Kusini huku mataifa hayo pinzani yakitishiana siku chache baada ya Kaskazini kudai mpinzani huyo alirusha ndege zisizokuwa na rubani katika anga la mji mkuu wake, Pyongyang. Kiongozi…
Serikali kufanya uwekezaji kukuza sekta ya TEHAMA nchini
Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) akizungumza jambo leo Oktoba 15, 2024 wakati akifungua Kongamano la nane la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) linalofanyika kuanzia Oktoba 13 – 17, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa…