JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia : Dunia imetambua jitihada za Tanzania katika sekta ya afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award inathibitisha kuwa dunia imetambua…

Utendaji kazi kituo cha huduma kwa wateja TANESCO wamkwaza – Dk Biteko

📌 Amuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kumchukulia hatua mtaalam aliyemfokea mteja 📌 Ataka Mpango Mahsusi wa Nishati uliosainiwa katika Mkutano wa Mission 300 kupewa kipaumbele 📌 PURA, REA, EWURA zang’ara tathmini ya utendaji kazi Taasisi chini ya Wizara ya Nishati Naibu…

Hivi ndivyo CCM inavyoiishi misingi ya Azimio la Arusha

Na John Francis Haule, JamhuriMedia, Arusha Kila ifikapo Februari 5 kila mwaka CCM huazimisha kumbukizi ya kuundwa kwake ambako kulifanyika mwaka 1977. Hivyo huu mwaka 2025 CCM ina timiza miaka 48 tangu kuasisiwa kwake. Na kwa kipindi hichi chote CCM…