JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Israel yagundua makombora 40 yaliyorushwa na Lebanon

Jeshi la Israel pia limesema kwamba limegundua makombora mapya 40 ambayo yalirushwa kutoka Lebanon. Jeshi la Israel limesema Alhamisi kuwa lilifanya mashambulizi ya anga ambayo yaliwaua makamanda wawili wa Hezbollah ambao walihusika katika mashambulizi ya makombora yaliyolenga eneo la kaskazini…

Bilionea Tata afariki akiwa hana mke wala mtoto

Bilionea na mfanyabiashara wa India aliyetambulika kimataifa, Ratan Tata (86) amefariki dunia Jumatano usiku baada ya kuugua kwa muda mrefu na kulazwa katika hospitali ya breach candy. Taarifa ya kifo chake imetolewa na Kampuni ya Tata aliyoiongoza kwa zaidi ya…

Jaji Mkuu Kenya kuunda jopo la majaji kusikiza kesi ya kupinga kuondolewa madarakani kwa Gachagua

Jaji Lawrence Mugambi amepeleka kesi ya kupinga kutimuliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa Jaji Mkuu Martha Koome ili kuunda jopo la majaji litakalosikiza na kuamua suala hilo. Katika uamuzi wake wa Ijumaa asubuhi, Jaji Mugambi alisema ombi hilo linaibua…