Latest Posts
Mathias Canal ampa maua yake Mwigulu, achangia mil. 4.2 shule ya Msingi Kiomboi, hospitali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mwandishi wa habari wa WazoHuru Media Mathias Canal amewata wananchi mkoani Singida kuendelea kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibu ambaye ni Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kutokana na kazi nzuri anayoendelea…
Yanga wapata ‘screen protector’ mwingine
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kama ulifanikiwa kutazama mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Princess vs Simba Queens uliochezwa jana katika dimba la KMC Complex Mwenge jijini Dar, basi utakubaliana na mimi kwamba golikipa wa Yanga…
Vijiji vyote Mtwara vimefikiwa na umeme, sasa ni zamu ya vitongoji 150
Na Mohamed Saif, JamhuriMedia, Mtwara Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 150 utakaonufaisha kaya 4,950 mkoani…
RC Kunenge azitaka taasisi wezeshi kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, alhaj Abubakar Kunenge ameziagiza Taasisi Wezeshi, kuwa na Ushirikiano wa karibu na kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo ili kuboresha sekta ya Biashara na Uwekezaji. Aidha amezitaka Taasisi hizo zisigeuke…
Lina PG Tour yamsogeza Mollel karibu na Dubai
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Moshi Mchezaji gofu ya kulipwa Nuru Mollel ana uhakika wa kutwaa ubingwa wa michuano baada ya kushinda raundi ya nne ya michuano ya Lina PG Tour mjini Moshi. Mollel kutoka klabu ya Arusha Gymkhana amejiweka katika…
Uganda yasaka ufadhili wa kuzalisha megawati 1,600 za umeme
Uganda inasaka ufadhili wa ujenzi wa mitambo mitatu ya kuzalisha umeme wa nyongeza wa maji wa zaidi ya megawati 1,600, kwa lengo la kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya nishati hiyo. Afisa wa Wizara ya Nishati nchini Uganda, Julius Namusaga,…