Latest Posts
Rais Samia azungumza na viongozi wa TUCTA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025. Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Dkt. Samia…
Ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu, SADC yakumbushwa
Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya…
NGO ziwe mawakala wa mabadiliko chanya – Dk Jingu
Na WMJJWM – Dodoma Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yametakiwa kuwa mawakala wa mabadiliko chanya katika jamii katika utekelezaji wa miradi mbalimbali kwenye jamii. Hayo yamesemwa leo Agosti 12, 2025 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake…
Mwalimu wa CHAUMMA aahidi neema kwa Watanzania
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Ali Mwalimu,ameahidi kama atakuwa Rais wa Tanzania ataleta neema kwa watanzania pamoja na serikali yake kufanya kazi kwa uadilifu na uwajibikaji ili kumletea maendeleo…
Tanzania yaapa kung’ara FEASSA 2025 Kakamega
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Emmanuel Shindika, amewakabidhi bendera ya taifa wanamichezo wa Tanzania watakaoshiriki Mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSA) 2025, huku akiwaasa kudumisha nidhamu, utulivu na mshikamano kipindi…