Latest Posts
Rais Samia azindua Kitabu cha Sokoine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Familia ya hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere…
Bashe atuma salamu kwa wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima wa korosho Mtwara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema hata sita kuendelea kuwafutia leseni wafanyabiashara wakubwa na wadogo wanaotumika na waleta janja janja katika ununuzi wa korosho na kunyonya wakulima. Amesema hatua ya Serikali kuwapa kipaumbele wafanyabiashara wa…
Mtoto Mtanzania ashinda tuzo ya Ballon D’or
Na Isri Mohamed Mtoto Mtanzania Barka Seif ameandika rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Ballon D’or of the Champions Dream nchini Hispania. Barka anayekipiga kwenye Academy ya vijana ya CF Damm, ameshinda tuzo…
Utekelezaji miradi ya maendeleo uzingatie vipaumbele vya wananchi – Kapinga
📌 Asema wananchi wana wajibu wa kufuatilia utekelezaji wa miradi kwenye maeneo yao 📌 Aeleza umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi katika kuleta maendeleo Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga amesema…
Urusi yaushambulia mji wa Kiev kwa droni
DURU ya usalama ya Ukraine imesema droni 120 zimeruka zaidi ya kilometa 600 kulilenga ghala la silaha ndani ya Urusi. Urusi imefanya shambulizi la droni mapema leo katika mji mkuu wa Ukraine, Kiev huku vitengo vyote vya mifumo ya ulinzi…
Mayele afunguka kurudi tena Yanga
Na Isri Mohamed Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Mayele amesema kama itatokea akarudi kucheza kwenye Ligi Kuu ya Tanzania basi atarudi klabu ya Yanga kwani ndio nyumbani licha ya maneno maneno yaliyotokea hapo nyuma baada ya kuondoka kwake….