Latest Posts
Obama : Trump kuzuia ufadhili wa Harvard si ‘halali’
Rais wa zamani Barack Obama anapongeza uamuzi wa Chuo Kikuu cha Harvard kukataa matakwa ya Ikulu ya White House ya kubadili sera zake au ikose ufadhili, katika ujumbe wake wa kwanza kwenye mtandao wa kijamii kukosoa utawala wa Trump tangu…
Wabelgiji washtakiwa Kenya kwa usafirishaji wa siafu
Vijana wawili raia wa Ubelgiji wameshtakiwa jijini Nairobi baada ya kukutwa na maelfu ya siafu, katika kile ambacho Kenya inasema ni sehemu ya mbinu ya usafirishaji haramu wa spishi ndogo zaidi na zisizojulikana sana. Vijana hao, Lornoy David na Seppe…
Biden akosoa ‘uharibifu’ wa Trump wa mashirika ya kijamii
RAIS wa zamani wa Marekani Joe Biden ameikosoa vikali serikali ya Donald Trump kwa kile alichokiita “uharibifu wa haraka” wa mashirika ya kijamii akisema hatua hiyo itaathiri zaidi ya Wamarekani milioni 65. Katika hotuba yake ya kwanza kubwa tangu aondoke…
Tukimsikiliza Dk. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Nairobi Wiki iliyopita sikuandika katika safu hii. Sikuandika si kwa sababu nyingine bali hekaheka za uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambapo nawashukuru wanachama wa TEF kwa heshima kubwa waliyonipa ya kunichangua kwa kishindo bila…
Masauni azindua bodi mpya NEMC na kuipa maagizo 7
Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) ameiagiza Bodi mpya ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kushughulikia changamoto ya ukuaji wa haraka wa miji (urbanization) ili…
NMB yakabidhi vifaa vya michezo vya milioni 19 kwa timu za JWTZ
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeishukuru Benki ya NMB kwa namna inavyojitoa kuunga mkono Sekta ya Michezo ndani ya jeshi hilo, kwa kufadhili na kuwezesha ushiriki wa Timu za Majeshi katika michuano…