Latest Posts
Burundi yakabiliwa na uhaba wa umeme, baadhi ya huduma zasimama
Sehemu kubwa ya Burundi haina umeme tangu Jumatatu, huku mji mkuu wa Bujumbura ukiwa umeathirika pakubwa wakati nchi hiyo pia ikikabiliwa na uhaba mkubwa wa mafuta. Wakazi wa baadhi ya vitongoji wamesema wanateseka kwa kuishi karibu wiki nzima bila umeme,…
Viongozi mbalimbali wawasili viwanja Bunge kushiriki ibada maalum ya kuaga mwili wa hayati Ndugai
Viongozi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwaajili ya kushiriki ibada maalum ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai leo tarehe 10 Agosti 2025 ambapo Mheshimiwa Dkt….
Mwili wa Spika wafikishwa nyumbani kwake Ndegengwa Dodoma
Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge, Hayati Job Yustino Ndugai, umefikishwa nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma kwa ajili ya taratibu za kifamilia jioni leo tarehe 09 Agosti, 2025. Shughuli ya kumuaga Hayati Ndugai itafanyika kitaifa kesho tarehe 10 Agosti, 2025…
Mwenge watua Maswa watembelea miradi 7 ya gharama ya sh.bil. 2.7
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Maswa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025 watua Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu, ambapo utatembelea jumla ya miradi ipatayo 7 itakayogharimu jumla ya sh.bil.2.7, kwa mzungukio wa umbali wa km.147. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya…
TRA yabuni mbinu za ukusanyaji mapato, wafanyabiashara mtandaoni, winga watakiwa kulipa kodi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imetaja mbinu itakazotumia kuzuia upotevu wa mapato yatokanayo na biashara za mtandaoni ikiwemo kutumia wanunuzi pamoja na mawinga kuwapatia taarifa. Hayo yalisemwa leo Agosti 9, 2025 na Kamishna…
Serikali yanunua tiketi 10,000 kuiona Taifa Stars dhidi ya Madagascar
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amesema kuwa, Serikali imenunua tiketi 10,000 zenye thamani ya Shilingi milioni 20, kwa ajili ya mashabiki kuingia uwanjani kuishangilia Taifa Stars katika mchezo…