JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAPENZI wa mchezo wa Gofu nchini watakusanyika Jumapili Desemba 22, 2024 viwanja vya Dar Gymkhana ili kumjua mshindi wa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour ambayo yana lengo la kumuenzi mchezaji wa…

Wawekezaji wakaribishwa Kagera

๐Ÿ“ŒDkt. Biteko asisitiza teknolojia itumike uchakataji zao la ndizi ๐Ÿ“ŒDkt. Biteko ahimiza uwekezaji viwanda vya kuongeza thamani mazao ya uvuvi na ufugaji ๐Ÿ“ŒKagera yaongoza kwa uzalishaji zao la ndizi nchini kwa asilimia 60 ๐Ÿ“ŒMradi wa Mashamba Makubwa ya Kahawa Kagera…

Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika

๐Ÿ“Œ MD Nyamo-Hanga na Viongozi wengine (TANESCO) wakagua Maendeleo ya ujenzi wa Mradi huo na kuahidi kuendelea kuusimamia hadi ukamilike ๐Ÿ“ŒMegawati 1175 kutoka kwenye mashine tano zilizokwishakamilika zinazalishwa na tayari zimeungwa kwenye Gridi ya Taifa ๐Ÿ“Œ Utekelezaji wake kwa Ujumla…

REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa mitungi 13,020 katika mkoa wa Shinyanga, Mradi huo utagharimu jumla ya…

Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA). Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu ya…