JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Samia ashiriki mkutano wa pamoja SADC na EAC uliofanyika kwa njia ya mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya…

 Samia atamaliza changamoto za kodi – Majaliwa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kumaliza changamoto zinazohusu masuala ya kodi. Majaliwa amehimiza jumuiya za wafanyabiashara ziendelee kuwa na imani na Rais Samia. Alisema hayo alipokuwa akijibu hoja zilizotolewa na mwakilishi wa wafanyabiashara wa Halmashauri…

Mufti: Tuepuke fitna, uzushi Uchaguzi Mkuu

Shehe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abbubakar Zubery amehimiza wananchi wajiepushe na uzushi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Amewataka kutumia hekima na busara wanapopokea taarifa yoyote ili kuepuka kupotosha jamii. Mufti alisema hayo wakati akipokea futari iliyotolewa na Ofisi ya…

CHADEMA wanyimwa mkutano Kyela kisa vurugu

Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Kyela Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kyela, kimenyimwa mkutano wa No Reform, No election kisa kikiwa ni vurugu za viongozi miongoni mwao . Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya Mwenyekiti wa…

Balile arejesha fomu kutetea nafasi yake TEF, awashukuru wahariri

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema amefurahishwa na wahariri wenzake kumwamini baada ya kutokuwepo kwa mwanachama mwingine aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo. Akizungumza na Jamhuri Digital baada…