JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania, Ethiopia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ethiopia zimesisitiza juu ya umuhimu wa kutumia fursa za ushirikiano zilizokubaliwa kati ya nchi hizo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kwa maendeleo endelevu ya watu wake…

Hatma ya Rwanda, DRC Congo bado haijulikani

Mazungumzo yaliyopangwa kufanyika Jumapili ya viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumaliza mzozo wa Mashariki mwa Congo yamefutwa baada ya majadiliano kukwama. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mpatanishi wa Umoja wa Afrika kwa  ajili ya kumaliza…

Watoto wawili wa familia moja wauawa kwa kushambuliwa na fisi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Watoto wawili wa familia moja wanaoishi Kijiji cha Dugushuli, Kata ya Igaga, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wamekufa huku sita wakijeruhiwa baada ya kushambuliwa na fisi. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi alithibitisha kutokea…

Meli mbili za mafuta za Urusi zaharibiwa katika Bahari Nyeusi

Meli mbili za mafuta za Urusi zimeharibika vibaya katika Bahari Nyeusi, na kusababisha mafuta kumwagika, mamlaka nchini Urusi imesema. Picha zilizotolewa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Uchukuzi Kusini mwa Urusi zilionyesha moja ya meli ikiwa imeharibika kabisa, huku mafuta…

38 wauawa magharibi mwa Darfur

Watu 38 wameuawa Magharibi mwa jimbo la Darfur nchini Sudan, baada ya wanamgambo wa RSF kutumia ndege isiyokuwa na rubani, kutekeleza shambulio hilo. Wanamgambo wa RSF wamerusha makombora manne kuwalenga watu kwa mujibu wa wanaharakati, wanaosema mashambulio yameendelea kuongeza katika…