JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wahouthi waisaidia Urusi kuwapeleka Wayemen kupigana Ukraine

Kutokana na hasara kubwa kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine, Urusi imeimarisha idadi ya vikosi vyake kutumia wanajeshi kiasi 10,000 wa Korea Kaskazini. Urusi inawasajili wanaume kutoka Yemen waende kupigana vita nchini Ukraine kupitia msaada waย waasik wa Houthiย nchini Yemen. Hayo…

Mgombea wa upinzani Yamandu Orsi ashinda urais Uruguay

Matokeo rasmi yanaonesha Yamandu Orsi, ameshinda asilimia 49.81 ya kura iklinganishwa na Alvaro Delgado ambaye amejikingia asilimia 45.90 ya kura. Rais mhafidhina wa Uruguay Luis Lacalle Pou amempigiaa simu na kumpongeza mgombea wa upinzani Yamandu Orsi kama rais mteule wa…

Shambulizi la droni la Ukraine lazua moto Kaluga, Urusi

UKRAINE imekuwa ikikabiliana na uvamizi wa Urusi kwa zaidi ya miaka miwili na nusu. Urusi imekuwa ikiyashambulia maeneo ya Ukraine wakati wa usiku kutumia makombora ya masafa marefu. Mabaki ya droni za Ukraine yaliyokuwa yakianguka yamesababisha moto katika kituo cha…

Samia atoa kibali ajira walimu 4,000

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuajiri walimu wa somo la biashara 4,000 kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Walimu hao watafuata mtaala mpya unaotumika, unaolenga kuleta mapinduzi ya elimu nchini…

Serikali yatangaza neema sekta ya madini

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanian , Dkt: Samia Suluhu Hassan imeweka wazi juu ya mipango yake ya kuhakikisha sekta ya madini nchini inakuwa miongoni mwa sekta zitakazokuwa na mchango…

Dk Biteko : Hatuna huruma tunabeba vyote

๐Ÿ“Œ Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia ๐Ÿ“Œ Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo ๐Ÿ“Œ Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye…