Latest Posts
Rais Samia awataka Watanzania kudumisha mila na desturi na si kuiga tamaduni zingine
Na Cresensia Kapinga, JanhutiMedia, Songea RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan,amewataka Watanzania kuendelea kudumisha mila na Desturi za Kitanzania,badala ya kuiga utamaduni wa Mataifa ya nje yanayochangia mmonyoko wa maadili kwa vijana hapa nchini. Rais…
Rais Samia akagua ukarabati na upanuzi wa kiwanja cha ndege Songea
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Samia…
Majaliwa: Mataifa madogo yaungwe mkono kiuchumi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Umoja wa Mataifa hauna budi kuyaunga mkono mataifa madogo ambayo hayana uwezo kiuchumi ili yaweze kuboresha mipango yao ya ndani. Ameyasema hayo jana jioni (Jumapili, Septemba 22, 2024), wakati akiwasilisha salamu za Serikali ya Jamhuri…
Polisi: Tunawashikilia Mbowe na Lissu kwa kujihusisha na maandamano
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa linawashikilia watu 14 kutokana na kujihusisha na maandamano. Limewataja baadhi ya watu hao ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa…