Latest Posts
Dk Possi: Viongozi ni taswira ya taasisi na Serikali kwa jamii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imeendesha mafunzo kwa viongozi wa taasisi hiyo na menejimenti yake ambayo yamefanyika jijini Dodoma mwishoni mwa wiki ambapo pamoja na mafunzo hayo viongozi hao wamejitathmini utendaji kazi wao wa…
IPI yawateua wabunge 320 kuwaletea maendeleo wananchi
Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Dodoma SHIRIKA la amani nchini International Peace Infomation (IPI) limewateuwa jumla ya wabunge 320 watakaosaidia na wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kuwaletea maendeleo wananchi. Alitoa kauli hiyo Rais wa Shirika hilo Prof Wilson…
Naibu Waziri aipongeza CBE kwa machapisho 148 ya kitaaluma
Na Mwandishi Wetu ,JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa mageuzi makubwa yaliyofanyika chuoni hapo na amekitaka pia kuweka mipango ya kusaidia wajasiriamali wadogo na wakati kurasimisha…
Waziri Mkuu akagua mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta
Aonya wageni wanaoanzisha makampuni kwa kutumia kivuli cha wazawa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumatatu (Februari 16, 2026) amekagua mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleani mkoani Tanga na amesema kuwa amefurahishwa na utekelezaji wake….
Kocha Gamondi rasmi kuinoa Stars
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, ameweka wazi kuwa, Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Waziri Makonda amesema hayo wakati akizungumza na…
Daraja la mto Pangani ni kichocheo cha uchumi – Dk Mwigulu
*Asema ameridhishwa na kiwango cha uwekezaji kilichofanywa na Rais Dkt. Samia kwenye daraja hilo_ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mradi wa ujenzi wa daraja la Pangani na barabara unganishi utasaidia kukuza shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa maeneo…





