Latest Posts
Bashe aleta tabasamu Namtumbo, awarejeshea hekta 3000 kwa wakulima
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Namtumbo WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe (mb) ameleta kicheko kwa wananchi wa Lwinga Wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma baada ya kurejesha hekta zaidi ya 3000 kati ya hekta 6,580 za shamba la Serikali kwa wakulima. Waziri Bashe,…
Watanzania tuendelee kudumisha amani – Dk Biteko
📌Asema utulivu unavutia ongezeko la wageni nchini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuendelea kudumisha amani na umoja ili kujenga jamii yenye ushirikiano na upendo katika Taifa. Dkt. Biteko ameyasema hayo leo tarehe…
Waziri Ndumbaro agawa vitabu vya kiada Songea Boys vya milioni 27.2
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro amegawa vitabu vya Kiada vyenye thamani ya sh.miilioni 27,217,000 kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya wavulana (Songea boys)iliyopo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Hafla ya…
TASSIM yaandaa maonyesho ya viwanda vidogo Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imewaalika wananchi na wadau mbalimbali kuhudhuria mkutano wa kukusanya maoni kuhusu Sera mpya ya biashara ndogo ndogo (SMEs) utakaofanyika mkoani Dodoma . Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya…
Tanzania ya sita duniani kwa ongezeko la watalii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHINI ya uongozi wa maono wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inashuhudia ongezeko kubwa la watalii wa kimataifa, jambo ambalo limeongeza kwa kiasi kikubwa uchumi wa taifa. Kulingana na Barometer ya Utalii…
Benki ya Akiba yazindua kampeni ‘Tupo Mtaani kwako’
Na Mwandishi wetu–Jamuhuri media Dar es salaam Taasisi za kifedha hazina budi kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi kwa kuwasogezea karibu ili kusaidia kupunguza adha ya kutumia muda mwingi kufuata huduma umbali mrefu na kuchelewa kufanya shughuli zao…