Latest Posts
JKCI yaelezea teknolojia inazozitumia mgonjwa kuwasiliana na daktari popote alipo
Na Jeremiah Ombelo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeelezea inavyotumia teknolojia ya tiba mtandao (Telehealth) katika kuboresha huduma za afya inazozitoa kumsaidia mgonjwa kuwasiliana na daktari popote alipo. Hayo yameeleza na Mkurugenzi wa Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya…
Dk Jingu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi na kulinda amani ya nchi
Na WMJJWM- Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amewataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotolewa na Serikali ili kujiajiri na kuajiri wengine na kudumisha umoja, utulivu na amani kwa…
Serikali ombi la DAR – PC, yaongeza muda wa kujisajili kwa waandishi wa habari nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeongeza muda wa kujisali baada ya Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DAR – PC) kuiomba Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini kuongeza muda wa usajili…
Bunge la 12 lawaaga Watanzania kupitia Bonanza la kihistoria Dodoma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wabunge, Viongozi wa Serikali, Mashirika binafsi na wananchi wameungana jijini Dodoma katika kilele cha Bonanza Maalum la Bunge maarufu kama Grand Bunge Bonanza ambalo kwa mwaka huu limefanyika kama tukio la mwisho kwa Bunge la 12. Bonanza…