JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mradi utafiti mafuta, gesi wafikia asilimia 40

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema Mradi wa Utafiti wa Mafuta ghafi na gesi kwenye Bonde la Eyasi Wembere lililopo katika mikoa ya Simiyu, Singida na Arusha utekelezaji wake umefikia asilimia 40. Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha za…

Gachagua – Mimi na familia yangu tupo hatarini

Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya amedai kuwa, Ruto hakuwa na nia ya kufanya kazi nami na alitaka tu kunitumia kupata watu kushinda uchaguzi”, ameambia wanahabari. Gachagua amezungumza hayo akiwa anatoka katika Hospitali ya Karen alipokuwa anatibiwa. Rigathi Gachagua ameendelea kudai…

Magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa tishio nchini – Mhagama

N a WAF – Bugando, Mwanza Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi ili kuepuka kupata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani, kisukari na shinikizo la juu la damu kwa kuwa magonjwa hayo yamekuwa yakiongezeka kila mwaka. Waziri wa Afya Mhe. Jenista…

Serikali ya Tanzania uhifadhi wa mifumo ya ikolojoa katika hifadhi ndio kipaumbele – Profesa Male

Na Mwandishi Wetu,New York Marekani. Katibu Mtendaji wa Tume ya UNESCO Tanzania Profesa Hamisi M. Malebo amesema Serikali ya Tanzania imeweka kipaumbele katika kulinda mifumo ya uhifadhi wa ikolojia iliyomo katika ardhi ya Tanzania.  Prof Malebo amesema pamoja na ukweli…

Mapinduzi ya nishati vijijini na mchango wake katika maendeleo Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani “Kwa miaka mingi tuliteseka na vibatari na chemli, tukishindwa kufikiria maisha bor, lakini kufikia 2018/2019, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitukomboa,” anasema Asiah Hussein, mkazi wa kijiji cha Mbwidu, kata ya Ubena,Jimbo la…

Dk Biteko akaribisha wawekezaji sekta ya nishati

📌 Ataja Mikakati ya Serikali Kuimarisha Sekta ya Nishati 📌 Aeleza Namna Tanzania Inavyojiandaa Kuuza Umeme nchi Jirani na Uwepo wa Soko la Uhakika 📌 Asema Ushiriki wa Sekta Binafsi ni Muhimu kwa Maendeleo ya Nchi 📌 Ashiriki Wiki ya…