JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TAKUKURU yatoa uzoefu kimataifa

Na Aziza Nangwa Mkurugenzi mlMkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),Crispin Chalamila ,ametoa uzoefu wa namna ambavyo mfumo wa sheria na kitaasisi nchini Tanzania unaowezesha mapambano dhidi ya rushwa kufanikiwa. Mkurugenzi huyo ameyasema hayo, wakati akiwasilisha mada…

JKCI yaendelea kuishangaza dunia kwa matibabu ya kibingwa ya moyo

· Yaadhimisha siku ya moyo duniani kwa kufanya upasuaji Zambia · Yaelekea Geita kufanya uchunguzi wa moyo bure maonyesho ya madini Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeendelea kushangaza mataifa mbalimbali kwa…

Hezbollah yathibitisha kifo cha kiongozi wake, Nasrallah

Kundi la wanamgambo la Hezbollah la nchini Lebanon, limethibitisha kuwa kiongozi wake na mmoja wa waanzilishi wake, Hassan Nasrallah ameuawa katika shambulizi la anga la Israel siku ya Ijumaa. “Sayyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hezbollah, ameungana na mashahidi wenzake…

Waziri Ridhiwani aongoza kampeni ya kukabiliana na afya ya akili

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ameongoza ameongoza maadhimisho ya kampeni juu ya kukabiliana na changamoto ya afya ya akili. Shughuli za maadhimisho hayo…

Lina PG Tour yafufua gofu Moshi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Moshi KUWEPO kwa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour katika viwanja vya gofu vya klabu ya Moshi Gymkhana, kumesaidia kufufua mchezo huo na kuboresha viwanja hivyo ambavyo awali vilikuwa na hali mbaya kutokana na kutokuwepo kwa…