Latest Posts
Mchezo wa raga na taswira mpya ya kimataifa
Na Lookman Miraji, JamhiriMedia, Dar es Salaam Mchezo wa raga nchini umeibuka na taswira mpya ya kimataifa mara baada mchezo ya mchezo wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania na timu ya maveterani kutokea nchini Uingereza. Mchezo huo…
Watoto 1500 kunufaika na matibabu ya moyo JKCI
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watoto zaidi ya 1500 wanaokabiliwa na magonjwa ya moyo wanatarajia kunufaika na matibabu ya maradhi hayo kutoka kituo cha matibabu ya magonjwa moyo nchini JKCI. Hatua hiyo imekuja kupitia harambee maalumu ya kuchangia…
Ziara ya Iowa Rais Samia amelenga vema
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kwanza akiwa Rais kwenye Jimbo la Iowa, nchini Marekani.Nimeiandika hii, si kwa jambo jingine, bali kutokana na umuhimu wa ziara hii. Najua Rais amepata…
Wafugaji Arusha wapewa elimu ya ufugaji nyuki
Zaidi ya wafugaji 100 wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamenufaika na mafunzo ya ufugaji bora wanyuki, uongezaji thamani mazao ya nyuki, uchakataji wa sumu ya nyuki na uandaaji wa maziwa ya nyuki (Royal Jelly) . Wakizungumza kwa nyakati tofauti…
Tanzania yaendelea vizuri usafirishaji kemikali za sumu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika usafirishaji wa kemikali mbalimbali za sumu ikiwemo ya Sianidi inayotumika kuchenjulia dhahabu migodini katika maeneo mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa…





