JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kiongozi wa upinzani Uganda ‘Bobi Wine’ kufanyiwa upasuaji

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine amepangwa kufanyiwaย  upasuaji baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari Polisi. Taarifa zinasema Bobi Wine atafanyiwa upasuaji baadaa ya kujeruhiwa mguu katika tukio la vurugu lilitokea mjini Kampala. Wakili…

Spika wa Bunge Ukraine ajiuzulu

Spika wa Bunge la Ukraine Ruslan Stefanchuk, amesema Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro Kuleba amewasilisha barua yake ya kujiuzulu . Ukraine imekumbwa na wimbi la kujiuzulu mawaziri katika serikali ya rais Volodymr Zelensky. Mawaziri wengine ambao pia wamejiuzulu ni…

Makalla : CCM hatubebwi tumejipanga

Chama Cha Mapinduzi (CCM)kimesema kitaendelea kushinda chaguzi zake kwa haki na sio kwa kubebwa. Akizungumza katika mkutano maalum na viongozi wa CCM mkoani Arusha, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa…

RC Chalamila apokea majina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Septemba 04,2024 amepokea taarifa ya kamati aliyoiunda kupitia orodha ya majina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo Mnazi…

Serikali kuendelea kutenga fedha za kukarabati barabara korofi nchini

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El โ€“ Nino ili kurahisisha huduma bora kwa Wananchi. Katimba amesema…

Majaliwa : Tanzania kujiimarisha zaidi kidiplomasia

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujiimarisha kidiplomasia na itaongeza nguvu zaidi ili kuwawezesha Watanzania wengi kupata fursa mbalimbali katika jumuia za kimataifa. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikisha kuimarisha…