JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yamwaga bilioni 4.6/- kuwezesha umeme maeneo ya migodi Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia,Mbinga SERIKALI imetoa kiasi cha sh. Bilioni 4.6 kwa ajili ya kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma ambapo kiasi cha sh.milioni 280 zimepelekwa katika mgodi wa Market Insight Limited (MILCOAL) uliopo katika Kijiji cha Paradiso…

Dk Mpango awasili Dodoma kuanza ziara ya kikazi siku nne

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwaajili ya kupokea taarifa ya Mkoa na kuanza rasmi ziara ya kikazi ya siku nne mkoani humo. Tarehe…

Tanzania mwenyeji mkutano wa mafuta, gesi Machi 2025

*Wadau Sekta ya Nishati zaidi ya 1000 kushiriki *Dkt. Biteko awataka wadau kushirikiana kuelekea mkutano huo *Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki…

Rais Mwinyi : Mwinyi tamasha la Kizimkazi ni fursa ya utalii na uwekezaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, Dk. Mwinyi amesema Tamasha la Kizimkazi ni fursa muhimu kwa Mkoa wa Kusini kuongeza vivutio vya utalii na kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika mkoa huo. Rais Dk….

Msajili vyama vya siasa aongoza kikao cha mashauriano cha vyama vya siasa wanachama TCD

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ambacho, mbali ya viongozi wa vyama hivyo, pia kilihudhuriwa na mawaziri na manaibu waziri wakiwakilisha upande…

Jarida la mkulima mbunifu lafikia wakulima 100,000

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam ZAIDI ya wakulima 100,000 wameweza kushiriki kilimo ikolojia hai baada ya kupata elimu kupitia Mradi wa Jarida la Mkulima Mbunifu ambalo linatoka mara moja baada ya miezi miwili. Hayo yamesema na Meneja Mradi…