JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Sho Madjozi atangaza rasmi kuacha muziki

Na Isri MohamedRapa wa kike kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi ametangaza rasmi kuachana na muziki mara tu baada ya kuachia albamu yake. Sho Madjozi amethibitisha hilo akiwa kwenye mahojiano na kituo cha SABC News Online, ambapo amesema. β€œNdio naachana na…

Ndege ya mizigo yaanguka Lithuania, mmoja afariki

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya ndege ya mizigo kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Vilnius nchini Lithuania Ndege hiyo, inayoendeshwa kwa DHL na Shirika la Ndege la Uhispania la Swiftair, ilianguka karibu na nyumba…

Hezbollah yarusha makombora ndani ya Israel baada ya shambulizi la Beirut

Jeshi la Israel linasema takribani roketi 250 zimerushwa na Hezbollah kuvuka mpaka kutoka Lebanon, na kuashiria moja ya mashambulizi makali zaidi ya Israel tangu mapigano yalipozidi mwezi Septemba. Watu kadhaa walijeruhiwa na majengo kuharibiwa kaskazini na kati mwa Israel, baadhi…

Nyumba, gari yako ikikutwa na dawa za kulevya itataifishwa

Na Isri Mohamed Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Mulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema endapo nyumba yako au gari yako ikikutwa na dawa za kulevya, basi itataifishwa kwa mujibu wa sheria. Kamishna Lyimo ameyasema hayo…

Kapinga atumia fainali mpira wa miguu kuhamasisha ushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa

πŸ“Œ Asema baada ya michezo nguvu zielekezwe Novemba 27, 2024 πŸ“Œ Awataka kuchagua viongozi makini wenye uchungu na maendeleo πŸ“Œ Asema CCM ndiyo chaguo SAHIHI Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe….