Archives
Kigogo Uhamiaji aibeba TBL
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, ameibeba Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa kupuuza agizo la kufanya ukaguzi kwa wafanyakazi kiwandani hapo. Vyanzo vya habari vya uhakika kutoka idarani humo vimedokeza kuwa Uhamiaji…
TBL maji shingoni
Wiki tatu tangu gazeti hili limeanza kuchapisha taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited (TBL) zinazomilikiwa kwa ubia kati ya Watanzania (38%) kupitia Soko la Hisa…
Rostam Aziz atajwa mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wazawa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati mataifa mbali mbali duniani yakitoa kipau mbele kwa wananchi wake kumiliki uchumi kupitia upendeleo maalum kwenye biashara na uwekezaji, Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), imempongeza mfanyabiashara maarufu nchini Rostam…
Tetemeko la ardhi lenye nguvu zaidi katika miaka 25 laikumba Taiwan
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.4 katika kipimo cha Richter lilitokea kwenye pwani ya mashariki ya Taiwan siku ya Jumatano, na kutoa tahadhari ya tsunami katika kisiwa hicho na nchi jirani. Chanzo cha tetemeko hilo kinapatikana takriban 18km (maili…
Waongoza utalii wachachamaa, watoa saba, wamuomba Rais Samia aingilie kati
Waongoza utalii Mkoa wa Arusha,wametoa siku saba kwa rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazowakabili ili kufikia malengo ya Serikali iliyojiwekea katika sekta ya utalii. Akiongea kwenye mkutano wa pamoja uliokutanisha vyama mbalimbali vya waongoza…


