WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUJADILI JINSI YA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI
SERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani iliyotoa viwango vya chini vya fidia, lakini pia kuwawezesha waajiri kupata muda zaidi kushughulikia masuala yao ya uzalishaji na uendeshaji. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,…