JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: msaada

MFANYABIASHARA AJENGA ZAHANATI YENYE VIFAA VYA KISASA NA KUIKABIDHI SERIKALINI

MFANYABIASHARA na mzaliwa wa Kijiji cha Uchau Kaskazini wilaya ya Moshi Vijijini, Emmanuel Mallya, ameikabidhi serikali zahanati ikiwa na vifaa vya kisasa vikiwamo vitanda vya wagonjwa vinavyotumia nishati ya umeme. Zahanati hiyo inayojukana kwa jina la EB zahanati, imejengwa na mfanyabiashara…

KAMA UMEGUSWA NA MTOTO HUYU MSAIDIE NA YEYE AENDE SHULE

Mtoto Msafiri Hassan ana umri wa miaka 12 mkazi wa Kitongoji cha Sanda Mkobani, Tarafa ya Mchinga, Lindi Vijijini ni mlemavu, hawezi kutembea hivyo anawaomba msaada wa kununuliwa kiti cha magurudumu ili aweze kwenda shule kama watoto wengine. Kama umeguswa…