Watu mbalimbali ndani na nje ya nchi wamepokea kwa shangwe kuachiwa huru kwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe, Johnson Nguza (Papii Kocha) baada ya kuwapo gerezani kwa miaka 13 na miezi minne.…
Soma zaidi...