Archives for August 20, 2019 - Page 2

Makala

MAISHA NI MTIHANI (42)

Nani ataomboleza utakapoaga dunia?   Kifo ni mtihani. Kuna aliyesema dunia ni mahali pa hatari sana, hautoki ukiwa hai. Hadithi inapokuwa nzuri kwenye gazeti wanaikatisha na kuandika itaendelea toleo lijalo. Mtu anapoaga dunia ni Mungu anakatisha hadithi ya maisha yake,…
Soma zaidi...
Makala

SADC imepata ‘chuma’

Jumuiya ya kimataifa pamoja na nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wanasubiri kuona mageuzi makubwa yatakayoletwa na Rais Dk. John Magufuli, ambaye ndiye mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo. Tayari katika hotuba yake ya kukubali majukumu yake…
Soma zaidi...
Show Buttons
Hide Buttons