Arsenal jana usiku imeifunga Ac Millan  mabao 2-0 kwenye mashindano ya kombe la Euopa Leaue hatua ya 16 bora ugenini kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza Mjini Milani.

Mabao ya Arsenal yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan kwenye dakika ya 15 na bao la pili lilifungwa na Aaron Ramsey dakika ya 45.

Kwa matokeo hayo Arsenal imejiweka kwenye hatua nzuri ya kusonga mbele kwani mechi ya Marudiao itapigwa uwanja wa Emirates, Jijini London.

 

ANGALIA MAGOLI YALIVYOFUNGWA

https://youtu.be/xVhjdIKDU7o

1491 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!