JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali kununua mitambo kusafishia Ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ipo kwenye mchakato wa mwisho wa kununua mitambo mitatu ya kisasa kwa ajili ya kushughulikia changamoto ya magugu maji katika Ziwa Victoria. Mhe. Mtanda amesema…

Tanzania Afrika Kusini zakubaliana kushirikiana kiuchumi

Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuendelea kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja ili kukuza Ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa Mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe….

Dk Biteko afurahishwa mwitikio Tulia Marathoni Mbeya

Na Manka Damian ,JamhuriMedia , Mbeya NAIBU Waziri Mkuu ,Dkt.Dotto Biteko amesema kuwa amefurahishwa kuona mwitikio mkubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya katika mashindano ya Riadha Mbeya BETIKA Tulia Marathoni ikiwa ni msimu wa tisa . Dkt.Biteko amesema hayo…

Tanzia; Charles Hilary afariki dunia

Charles Hilary (66), ambaye alikuwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, amefariki dunia. Hilary amefariki alfajiri ya leo na taarifa kutoka kwa watu wa karibu wamesema ameugua ghafla…

Serikali itaendelea kuiamini na kuiunga mkono Red Cross – Dk Biteko

📌 DkT Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano wa mwaka Red Cross📌 Awataka kutembea kifua mbele kwa kazi za Kudumisha Ubinadamu📌 RED CROSS yaishukuru Serikali kwa kuungwa mkono Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea…