Author: Jamhuri
Tundu Lissu afikishwa mahakamani
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani leo Mei 19, 2025 kwa ajili ya kusubiri kutajwa kwa kesi mbili za jinai zinazomkabili ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo Lissu anakabiliwa na…
Joe Biden agunduliwa na saratani ya tezi dume
Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden amepatikana anaugua saratani ya tezi dume. Inaripotiwa saratani hiyo imesambaa hadi kwenye mifupa yake. Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden amegundulika kuwa na aina kali ya saratani ya tezi dume ambayo imesambaa…
Trump kuzungumza na Putin kuhusu kusitisha mapigano Ukraine
Rais wa Marekano Donald Trump anatarajiwa kuzungumza kwa njia ya simu mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, kuhusu usitishaji mapigani nchini Ukraine. Ni sehemu ya jitihada za muda mrefu kuvifikisha mwisho vita vya Ukraine. Viongozi wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia…
Rais Samia ampongeza Prof. Janabi
Rais Samia Suluhu Hassan, amempongeza Profesa Mohamed Yakub Janabi kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Kupitia ujumbe wake rasmi, Rais Samia amesema ana imani thabiti kwamba uzoefu wa…





