Jamhuri

Jafo: Athari za mazingira zimesababisha mfumuko wa bei

……………………………………………………………….. Imeelezwa athari za kimazingira nchini zimechangia  kupanda kwa bei ya vyakula ikiwemo unga wa mahindi kutoka na kukosekana kwa mvua na hata maeneo ilikonyesha ilikuwa ni chini ya wastani. Hayo yameelezwa leo Juni 1,2023 jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt.Selemani Jafo,wakati akishiriki zoezi la kupanda miti…

Read More