JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Marekani, Iran kufikia makubaliano ya nyuklia

Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa Iran “imekubali” masharti ya mkataba wa nyuklia na Marekani. Trump alielezea mazungumzo ya hivi punde kati ya nchi hizo mbili, ambayo yalimalizika Jumapili, kama “mazungumzo mazito” ya “amani ya muda mrefu”. Hapo awali,…

Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62

Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62, huku mashirika yakionya kuhusu njaa ashambulizi ya anga ya Israel yawaua takriban watu 62, ulinzi wa raia unasema,. Mashirika mashirika ya kibinadamu pia yanaonya kuhusu njaa kutokana na ukosefu wa chakula…

Dk Biteko ateta na Spika wa Bunge la Morocco

📌 Tanzania, Morocco wakubaliana kuimarisha ushirikiano Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto Biteko Mei 15, 2025 ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini humo. Akiwa Bungeni hapo, Dkt. Biteko amefanya…

Waziri Mavunde kuzindua kongamano la TAMISA Dar kesho

Na Mwandishi Wetu, JamburiMeia, Dar Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, anatarajiwa kuzindua kongamano maalum linaloandaliwa na Taasisi ya Umoja wa Watoa Huduma katika sekta ya madini nchini (TAMISA) pamoja na Kamati maalum ya Masoko na Mawasiliano ya taasisi hiyo. Uzinduzi…

Serikali kutumilia Bilioni 208.9 kuwezesha kaya duni 260 kwa miaka sita

OR – TAMISEMI, Morogoro Serikali inakusudia kutumia Dola milioni 77.4 sawa na shilingi Bilioni 208.9 kuzijengea uwezo kaya duni laki mbili na elfu 60 za wakulima na wavuvi kwa kuziwezesha kitaalam na kuziunganisha na taasisi za kifedha hususani TADB kwa…

Msajili Hazina aongoza mazungumzo ya uwekezaji na Kampuni ya Uwisi

Na Mwandishi Maalum Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameongoza mazungumzo ya kitaalamu kati ya Serikali ya Tanzania na Bw. Soren Toft, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mediterranean Shipping Company (MSC), kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika Bandari ya Dar es Salaam…