JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watu 23 wauawa kufuatia shambulio la Israel Gaza

Ndege za kijeshi za Israeli zimeshambulia jengo la makaazi ya watu katika eneo la kaskazini mwa Gaza lililoharibiwa kwa vita na kusababisha vifo vya takriban watu 23. Vifo hivyo vimeripotiwa wakati mapigano yaliyoanza upya hivi karibuni katika ukanda huo yakionyesha…

Fisi waharibifu wazidi kudhibitiwa Simiyu, Kongwa

Na Sixmud Begashe, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuongeza jitihada zaidi za kukabiliana na Wanyamapori wakali na waharibifu hususani Fisi katika maeneo mbalimbali hapa nchini ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuishi kwa amani na usalama. Akizungumzia jitihada hizo…

Poland yaonesha nia kushiriki ujenzi wa SGR

Na Benny Mwaipaja, Warsaw-Poland Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishukuru Serikali ya Poland kupitia Shirika lake la Bima (KUKE), kwa kuonesha nia ya kudhamini upatikanaji wa fedha kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha 3 na…

Dk Biteko ataka wananchi wapewe majibu ya huduma kwa haraka na haki

* Aipongeza EWURA kwa taarifa yenye mchango muhimu kuimarisha sekta ya nishati  Vyombo vya moto vinavyotumia gesi vyaongezeka kufikia 7,000  Mahitaji ya umeme kufikia megawati 8,055 mwaka 2035  Upatikanaji wa mafuta waendelea kuimarika nchini  TANESCO yaendelea kuimarika na kupata faida Na…