JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bashiru awataka Tabora kulinda historia ya CCM

Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Tabora Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally amewataka wananchi wa Mkoa wa Tabora kutunza vema historia yaChama hicho. Amesema mkoa huo una historia ya kipekeee kwani mwaka 1958 chama hicho kulifanya…

Twendeni tukampe kura za heshima Samia-Nkumba

Na Mwandishi, JamhuriMedia, Tabora Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Said Nkumba, amesema mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa kwa kupeleka sh trilioni 6.42 katika kuchagiza maendeleo mkoani humo. Amesema fedha hizo imegharamia miradi mbalimbali…

PMM wafurahia fursa ya Oman, utachochea maendeleo

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya PMM, Dk Judith Mhina Spendi, amesema kuwa kuwasili kwa wageni kutoka Oman kwenda kwenye ofisi yao ya ni fursa ya kukuza uchumi wao na taifa kwa…

Dk Biteko ahaidi neema zaidi Bukombe miaka mitano ijayo

📌 Ataja miradi lukuki iliyotekelezwa Bukombe 📌 Oktoba 29 Katome kumpa kura zote Rais Samia Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema endapo wananchi wa Jimbo hilo watamchagua tena kuwa mbunge…

Dk Tulia amuombea Samia kura kwa machifu

Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na aliyekuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, amemuombea kura mgombea wa urais Samia Suluhu Hassan, kwa Machifu wa Kisafa…

TMA yatoa utabiri wa mvua za Vuli, yawashauri wananchi kuchukua tahadhari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa msimu wa mvua za Vuli kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2025, ikionya kuwa mvua zinatarajiwa kuwa za Wastani hadi Chini ya Wastani…