Author: Jamhuri
Sekta za uchukuzi, usafirishaji zatakiwa kuongeza ufanisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es SEKTA ya Uchukuzi na Usafirishaji imetakiwa kushirikiana na kujadiliana mara kwa mara, ili iweze kuongeza tija na ufanisi kwa nchi. Mkutano huo mkubwa wa siku moja uliwakutanisha wadau wa sekta ya uchukuzi kwa njia…
Vifo tetemeko la Myanmar vyafikia 2000
Waokoaji wamemuokoa mwanamke mmoja aliyefunikwa na kifusi kwenye jango la hoteli moja lililoporomoka nchini Myanmar, maafisa walisema siku ya Jumatatu. Mwanamke huyo amekaa siku tatu baada ya tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha vifo vya watu karibia 2,000 huku waokoaji nchini…
Trump akasirishwa na Rais Putin
DONALD Trump amesema kuwa ana “hasira kubwa” na “amechukizwa” na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, baada ya wiki kadhaa za majaribio ya kusitisha mapigano nchini Ukraine. Katika mahojiano na NBC News, rais huyo wa Marekani alisema anakerwa na Putin kwa…
Iran italipiza kisasi ikiwa itashambuliwa na Marekani
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema Marekani itapata pigo kubwa ikiwa itatekeleza tishio la kuishambulia kwa mabomu Iran ikiwa haitafikia makubaliano mapya ya nyuklia na Marekani. Kiongozi huyo mkuu wa Iran amesema ikiwa Marekani inafikiria kuleta uchochezi ndani…
Shirika la Msalaba Mwekundu lakasirishwa na mauaji ya madaktari Gaza
Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (IFRC) limesema “limekasirishwa” kwamba madaktari wanane wa Kipalestina waliuawa pamoja na wahudumu sita wa Ulinzi wa Raia na mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa na vikosi vya Israeli kusini mwa…





