Mimi ni msomaji wa Gazeti Jamhuri. Naishi hapa Kwashemshi wilayani Korogwe.

Kinachosikitisha ni kwamba tangu mwaka jana tuteuliwe katika Baraza la Kata hakuna semina yoyote ambayo wajumbe tumepewa.

 

Sasa inatuwia vigumu kwetu kutafsiri sheria. Hali hii ni kinyume kabisa na utoaji haki.

 

Ni mimi mjumbe,

Baraza la Kata,

Kwashemshi, Korogwe

1107 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!